|
Switzerland-Sw-Sw Κατάλογοι Εταιρεία
|
Εταιρικά Νέα :
- MICHUZI BLOG - JamiiForums
MICHUZI BLOG Thread starter Brojust; Start date Nov 17, 2018; Brojust JF-Expert Member Sep 17, 2016 361
- 20 Most Influential Young People in Tanzania - JamiiForums
12 Issa Michuzi - Michuzi Blog 13 Eric Shigongo - Global Publishers 14 Shyrose Banji - NMB 15 Masudi Kipanya - www kipanya co tz 16 Fina Mango - One Plus Communication 17 Humprey Polepole - Tanzania Youth Coaltion, TYC 18 Jerry Silaa - Naibu Meya, Ilala 19 Lay Jaydee - Machozi Band 20 Kitila Mkumbo - UDSM
- Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa . . .
Je ni kwanini wasiwape hizi kazi Watanzania wanaoishi USA badala ya kuleta watu kutoka Tanzania ambao wengi wanachua miaka mingi sana kuzoea utamaduni Kila siku kuna malalamiko ya huduma kwasababu watu wanaofanya kazi hawajazoe mazingira Mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya Tanzania kuajiri
- Michuzi Blog yashindwa kuripoti habari muhimu inayohusu Chama cha . . .
Michuzi blog ni jukwaa ambalo halikosi kutoa habari inayohus Chama cha Mapinduzi Lakini leo tangu kupatikana kwa habari ya Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndugu Malya, Michuzi blog haijaweza kueleza taarifa yoyote kuhusiana Sidhani kama ni kweli hajaweza kupata taarifa hii, ama huwa
- Zahara Muhidin Michuzi ajitosa viti maalum Tabora - JamiiForums
Zahara Muhidin Michuzi akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana Binti huyo wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikia wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya
- Unaikumbuka blogspot gani enzi hizo? - JamiiForums
6 Michuzi blog mambo ya news, huyu nadhani bado yupo Lakini siku hizi naona blogspots karibia zote zilizimwa au zimekufa , changamoto sijawahi kujua ni nini, Zingine zinazofanya kazi au ulizowahi kuzijua nakuzipenda basi share
- Michuzi Blog, hii ni sawa? - JamiiForums
Natanguliza shukrani kwa bro Michuzi DC wa naniii pale kwa huduma yake nzuri anayoitoa kwa jamii kuwasilisha "niuzi" kwetu sote Swali langu linakuja hapa, Ni kwamba kuna tangazo pale juu kabisa mara baada ya kuingia kwenye website ya michuzi after tangazo la Ndovu Hili ni Tangazo la Chuo
- Hoja ya haja: Kutoka Michuzi blog - JamiiForums
( Hii nimeinasa kule Michuzi blog, imepambisha mjadala Kuna mwenye sehemu ya kwanza atumwagie humu ukumbini!) HOJA YA HAJA Mwibaji na watwana, mlifi ni mwungwana (sehemu ya pili na ya mwisho) Ilipopita awamu ya pili ikajiri awamu ya tatu (Awamu kati)
- Nilicho kiona kwenye blog ya michuzi leo - JamiiForums
Nikiwa na peruzi kwenye blogu ya kaka mkubwa, Issa Michuzi, nimekutana na very interesting topic U can see for urself kwenye link hapo chini MICHUZI BLOG: UKWELI KUHUSU SAYANSI YA KIAFRIKA A K A NDUMBA NAMGAI matukio-michuzi: UKWELI KUHUSU SAYANSI YA KIAFRIKA
- RC Sendiga amuapisha Michael John Semindu kuwa Mkuu wa . . . - JamiiForums
Na Cathbert Kajuna - Kajunason Blog Michuzi TV, Manyara Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe Queen Cuthbert Sendiga (kwanza kushoto) leo Januari 29, 2025 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Bw Michael John Semindu aliyeteuliwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
|
|