companydirectorylist.com  Παγκόσμια Επιχειρηματικοί Οδηγοί και κατάλογοι Εταιρείας
Αναζήτηση Επιχειρήσεων , την Εταιρεία Βιομηχανίας :


Λίστες Χώρα
ΗΠΑ Κατάλογοι Εταιρεία
Καναδάς Λίστες Επιχειρήσεων
Αυστραλία Κατάλογοι επιχειρήσεων
Γαλλία Λίστες Εταιρεία
Ιταλία Λίστες Εταιρεία
Ισπανία Κατάλογοι Εταιρεία
Ελβετία Λίστες Επιχειρήσεων
Αυστρία Κατάλογοι Εταιρεία
Βέλγιο Επιχειρηματικοί Οδηγοί
Χονγκ Κονγκ Εταιρεία Λίστες
Κίνα Λίστες Επιχειρήσεων
Ταϊβάν Λίστες Εταιρεία
Ηνωμένα Αραβικά Εμιράτα Κατάλογοι Εταιρεία


Κατάλογοι Βιομηχανίας
ΗΠΑ Κατάλογοι Βιομηχανίας














  • MICHUZI BLOG
    MICHUZI BLOG at Monday, June 23, 2025 0 Dar es Salaam Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu wenye ujuzi
  • RAIS SAMIA AMESIKIA KILIO CHA MAAFISA USAFIRISHAJI - DC MPOGOLO.
    MICHUZI BLOG at Thursday, June 19, 2025 HABARI, Usemi wa ombeni nanyi mtapewa, umedhihirisha usikivu wa Rais Samia Suluhu Hassan kupunguza gharama za lesini kwa maafisa usafirisha wa bodaboda, bajaji na guta zinazotumia umeme katika bajeti ya mwaka 2025-2026 kulipia kiasi cha shilingi elfu thelathini
  • DKT NCHEMBA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA USWISI - MICHUZI BLOG
    MICHUZI BLOG at Tuesday, March 04, 2025 HABARI, Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania inatambua mchango mkubwa wa Serikali ya Uswisi katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii tangu nchi hizo mbili zilipoanza uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi zaidi ya miaka 43 iliyopita
  • WMA YAENDESHA ZOEZI LA UHAKIKI MITA ZA UMEME VIWANDANI - MICHUZI BLOG
    MICHUZI BLOG at Thursday, June 19, 2025 HABARI, Wakala wa Vipimo (WMA) unaendesha zoezi la kuhakiki mita za umeme zilizofungwa katika viwanda mbalimbali nchini ili kuhakikisha Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inapata mapato stahiki na wenye viwanda wanalipa gharama stahiki kulingana na huduma ya umeme wanaotumia
  • WIZARA YA FEDHA YAENDELEA KUPONGEZWA KWA WELEDI WA UTOAJI ELIMU
    MICHUZI BLOG at Friday, June 20, 2025 HABARI, Na Peter Haule na Chedaiwe Msuya, Dodoma Naibu Waziri wa Ofi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Deus Sangu (Mb) ameipongeza Wizara ya Fedha kwa kushiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutoa elimu kwa weledi kwa wananchi
  • MKUTANO WA VIONGOZI WA TAASISI WAFUNGWA - MICHUZI BLOG
    MICHUZI BLOG at Sunday, March 09, 2025 HABARI, Viongozi wa taasisi na mashirika ya umma wamekubaliana kuwa na jukumu la kuweka mazingira bora ya kiutendaji ili biashara ya kaboni na sekta ya mazingira kwa ujumla iweze kukua na kuleta tija nchini
  • WASHIRIKI 1500 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI KUSHIRIKI KONGAMANO LA KILIMO . . .
    Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV WATALAAM zaidi 1500 wawekimo Wanasayansi, watunga sera kutoka sehemu mbalimbali duniani wanatarajiwa kushiriki Kongamano la Kimataifa la Kilimo na Lishe linalotarajia nchini Tanzania
  • KLINIKI YA MAT KUJENGWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA
    MICHUZI BLOG at Thursday, June 19, 2025 HABARI, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt Yudas Ndungile akiongoza Mkutano wa wadau wa afya kujadili ujenzi wa kliniki ya tiba kwa waraibu wa dawa za kulevya (Medically Assisted Therapy – MAT) Mkoani Shinyanga




Επιχειρηματικοί Οδηγοί , Κατάλογοι Εταιρεία
Επιχειρηματικοί Οδηγοί , Κατάλογοι Εταιρεία copyright ©2005-2012 
disclaimer